iqna

IQNA

ayatullah naseri
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa salamu za rambirambi kufuatia kuaga dunia Ayatullah Mohammad Ali Naseri, mwanazuoni mashuhuri wa maadili wa Iran aliyefariki dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 92.
Habari ID: 3475686    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/27